Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
Wanawekaga vibration au silent mode wengine flight mode lakini kazi inaendelea ndani kwa ndaniNipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sjawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.
Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:
1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?
Karibuni wachangiaji,mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro
Kwamba anafake ili mzeebaba amalize tu akitoka hapo anafuata utamu Kwa mchepuko wake[emoji2][emoji2][emoji2]Nyingine za Kitapeli[emoji28]
[emoji2][emoji2]Kwahyo umekaa kodo kusikiliza hizo fyoto fyoto???
Hama hiyo nyumba haraka Sana! Kabla hawajakustukia![emoji23][emoji23][emoji1787]Wakiwa wanaongea story zngne mbna huwa nawaskia mkuu??
Habari ya hapo KilimanjaroNipo kwenye nyumba ya kupanga, chumba jirani kuna mwanaume mwenzangu ana wife wake, lakini Cha ajabu sjawahi hata siku moja kusikia miguno wakiwa wanapeana utamu.
Sasa najiuliza maswali kama ifuatavyo:
1.Wanatumia staili gani inayopelekea nisisikie chochote?
2. Au kuna wanawake ambao huwa hawatoi sauti wakiwa faragha?
Karibuni wachangiaji,mi nipo maeneo ya Moshi-Kilimanjaro