Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

Hivi kuna wanawake wajuzi kitandani na watamu kama wamakonde?

Nyie ni kuingiza na kutoa hata romance hakuna sio[emoji86]
Mwanamke lazima awe comfortable na wewe, awe willing, awe comfortable na mazingira na akiwa na feelings na wewe hio ni plus, then ndio hizo romance n.k, mwanamke hata umfanyie romance vp kama haja relax ana hofu hofu hakuelewi utakesha na romance zako...
 
Si umenifanyia makusudi nikose ujanja

Sema hilo kabila bana waendelee tu kutafuta hela, waachane na mambo ya malovee
Nadhani sio fungu lao
Naiscreenshot, namtumia kama ilivyo
 
Mbona mmakonde Mie nna bachelor? Kuhusu suala la elimu Kwa mtoto wa kike huwezi kusema Wamakonde tu ndo hawafiki elimu ya juu, ni tatizo la makabila yote ya ukanda wa Pwani, hayajawahi kuweka msisitizo kumsomesha mtoto wa kike, ni ukue uolewe.
Kumbe shemeji yangu
 
Pwani ni matrilineal, huku hatung'ang'anii ndoa.....mtu akizingua unasepa, mtaji kiuno na unacho unamng'ania mwanaume Ili akuue?
Ushawahi kusikia mwanamke Pwani kakatwa masikio na mumewe?
Talaka hata Ulaya zipo juu[emoji1787]
Aisee[emoji23]
 
Hao wanamsemo wao “bhaah ! Kunnyima ntu zambi “

Umepewa bure na Mungu toa bure [emoji3][emoji28]
 
Back
Top Bottom