Hivi kuna watu hawajawahi kweli kupigwa BAN toka waanze kutumia jf?

Mmi ni mmoja wao na haitawahi kutokea
 
Kupigwa ban ni ishara ya wazi kwamba huwezi kuzitawala hisia zako, matokeo yake unabwatuka ovyo mitandaoni.
 
na uzee wote huu. bado sijawahi pigwa ban
 
wajeuri hiyo ndio fimbo yenu mashart mna agree mkiingia mnadisagree ndo nini sasa
 
lengo la swali lako nini hasa?
Kama wapo unataka nini? na kama hawapo unataka nn
 
Kwan ban ni kitu gan coz naskia tu watu wanalalamika
 
Sijawahi pigwa BAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…