Hivi kuna watu hawajawahi kweli kupigwa BAN toka waanze kutumia jf?

Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Mmi ni mmoja wao na haitawahi kutokea
 
Kupigwa ban ni ishara ya wazi kwamba huwezi kuzitawala hisia zako, matokeo yake unabwatuka ovyo mitandaoni.
 
na uzee wote huu. bado sijawahi pigwa ban
 
wajeuri hiyo ndio fimbo yenu mashart mna agree mkiingia mnadisagree ndo nini sasa
 
Kwan ban ni kitu gan coz naskia tu watu wanalalamika
 
Nakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Sijawahi pigwa BAN
 
Back
Top Bottom