Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmi ni mmoja wao na haitawahi kutokeaNakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?
Hahaaaa, daaaah noma kwelTukana uone inavyokuwa
Sijawahi pigwa BANNakumbuka nilipigwa ban hata bila kujua kosa langu,huyo mod aliyenipiga ban nahisi siku hiyo alikuwa na stress zake binafsi
Vipi wazee wenzangu kuna ambaye hajawahi kukutana na rungu la huyo mod mwenye kupigapiga ban bila kosa?au kuna mtumiaji yeyote toka aanze kutumia jf hajawahi kupigwa ban?