Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Na kweli. Ukiona hupokelewi simu ujue una safari ndefu katika utafutaji. LohTafuta hela kwa sana simu yako iwe adimu na muhimu
Hao tunajua simu zao ni za vibomu,tunaamua kuwapotezea kiainaAisee! Tajiri kupiga simu mwisho mara moja tu.
Japo unanipa mashaka ni ngumu sana tajiri kuambiwa nitakucheck baadae.
Hasa wenye matatizo ya usikivuIla kuna watu hua hawapendi tu kupigiwa simu yaani bora umtext kuliko umpigie
iko nill sina kitu nilikuwa na fikra kama zako ila mdau ujue hela ninazo Alhamdulillah ila hela si ishu mkuuKama huna kitu Nani akutafute, tafuta hela kijana.
Hey babe, happy Valentine’s Day 😉…Ila kuna watu hua hawapendi tu kupigiwa simu yaani bora umtext kuliko umpigie
Yaani kwa mfano unachat na mtu halafu una cha kumwambia lakini unaona ni bora kumpigia kuliko kuandika meseji.Na kweli. Ukiona hupokelewi simu ujue una safari ndefu katika utafutaji. Loh