round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Katika ku interact na watu wengi wa makundi mbali mbali kitu nilichowahi kunotice wapare ni watu wenye hasira za karibu sana lakini uzuri zinaweza kushuka fasta pia.
Nimeishi na watu wa Mara na wamasai utofauti wao hawana hasira za karibu isipokuwa wao wakipandwa na hasira ni ngumu kuzishusha, kwa wapare hali ni tofauti, waya wa fuse ni mfupi (hasira zipo karibu sana)