Hivi kuna watu wana hasira za karibu kuwazidi wapare?

Hivi kuna watu wana hasira za karibu kuwazidi wapare?

Mkuu....
Unawajua wakurya wewe??
Nawajua tofauti na ninyi wengi mnaowasikia, wana undugu na wamasai hawa watu, zamani walikuwa wanatoboa masikio kama wamasai.

Watu hao hadi hasira zimewapanda ni mpaka moto uwe umekolezwa sana, hasira wanazo ila hawana hasira za karibu
 
View attachment 3310565

Katika ku interact na watu wengi wa makundi mbali mbali kitu nilichowahi kunotice wapare ni watu wenye hasira za karibu sana lakini uzuri zinaweza kushuka fasta pia.

Nimeishi na watu wa Mara na wamasai utofauti wao hawana hasira za karibu isipokuwa wao wakipandwa na hasira ni ngumu kuzishusha, kwa wapare hali ni tofauti, waya wa fuse ni mfupi (hasira za haraka)
Acheni upumbavu wa kutoa makeshift kwa makabila mengine, wewe kabila lako halina ukakasi, mmewatukana sana wahaya , wachaga , aagogogo n.k

Acheni upumbavu , vipi wannabe? Kaamba kisa wanafuta mila zao iwe nongwa , pumbavu sana,

Unajua miiko ya makabila yote tz, wewe utasema hivi na mwingine akikutana na kabila jingine atasema hivi , mmelaniniwa ,acha wafu wazike wafu wenzao .

We kabila lako limekamilika?
 
Nimebahatika kusoma na wasingida aisee wale jamaa wana hasira sanaaa mmhh
 
Wapare hawapendi kuzinguliwa.Wanapenda haki,na pia wapo tayari kuuza n'gombe kwa kesi ya kuku ili haki ipatikane.
Mapere thi kindu,kindu ni mshombe avae
 
Back
Top Bottom