Hivi kuna watu wana hasira za karibu kuwazidi wapare?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051


Katika ku interact na watu wengi wa makundi mbali mbali kitu nilichowahi kunotice wapare ni watu wenye hasira za karibu sana lakini uzuri zinaweza kushuka fasta pia.

Nimeishi na watu wa Mara na wamasai utofauti wao hawana hasira za karibu isipokuwa wao wakipandwa na hasira ni ngumu kuzishusha, kwa wapare hali ni tofauti, waya wa fuse ni mfupi (hasira zipo karibu sana)
 
Nyumbu wa chadema wana mihemko na ghadhabu kupindukia gentleman, heche na ukurya wake atafute kwa tochi🐒
 
Mm sipo hivyo, niliwahi kuulizwa hv nshawahi kukasirika? Mana muda wote wananiona nacheka tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…