Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
ila joa😂😂Wifi/shemeji akichepuka naenda kusema kwa dada/kaka yangu bila kujiuliza mara nane nane
Ikitokea vice versa nakausha
Muda mwingine ni kufanya hamsini zako tuu wanasemaHabari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.
Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.
Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?
Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.
Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
ila joa😂😂
Kuna shoga ako kufa kupona alimuona jamaa ako akichepuka na akakausha na tena akamwambia jamaa ako amle ili asikuambieWifi/shemeji akichepuka naenda kusema kwa dada/kaka yangu bila kujiuliza mara nane nane
Ikitokea vice versa nakausha
Kuna shoga ako kufa kupona alimuona jamaa ako akichepuka na akakausha na tena akamwambia jamaa ako amle ili asikuambie
Mimi nakuongeza Situation..Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.
Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.
Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?
Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.
Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
Atakwa mshua.mimi nilijua ya mzazi mmoja, nimebaki nayo miaka 7 sasa na nitakufa nayo
kama siri italeta madhara ikijulikana, unaimeza
ndoa zinatisha kwa kweli
kweli aiseeAtakwa mshua.
Me mwenyewe nayo mpaka kufa ila inauma unabd upotezee.
Wewe zungumza ukweli. huo ndiyo ukweli useme.. Mwanafalsafa mmoja alisema kuwa kujaribu kuficha ukweli ni sawa na kujaribu kufichaz jua.Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.