Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
huo ukimwi utakuhusu? utapewa wewe?Ukila hamsini zako na siku anaechepuka akaleta ukimwi kwenye Familia itakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ukimwi utakuhusu? utapewa wewe?Ukila hamsini zako na siku anaechepuka akaleta ukimwi kwenye Familia itakuaje?
Uzuri majibu yanakua Siri ya pale chumbani tu ila baada ya hapo itajulikana ndani ya mda mfupi sana hata Dr asiposema ila kwa case kama hiyo bro anapewa signal mapema sanaUnasahau kuwa wanaojua siri hiyo ni wewe uliyempima na ulimpima na kujua siri hiyo kipindi ukiwa kwenye majukumu kama daktari na sio kama Shemeji yake..
Mzee kaseme ukale mvua za kutosha
Shida na changamoto Bro wako anamuamini sana Mchumba wake kuliko.chochote na huwa hakubali maneno yoyote anayoletewaUzuri majibu yanakua Siri ya pale chumbani tu ila baada ya hapo itajulikana ndani ya mda mfupi sana hata Dr asiposema ila kwa case kama hiyo bro anapewa signal mapema sana
Hapo pagumuShida na changamoto Bro wako anamuamini sana Mchumba wake kuliko.chochote na huwa hakubali maneno yoyote anayoletewa
Safi sana,umekua mkubwa[emoji2]Mimi sisemi na hata mtu akiona baba watoto anachepuka akaushe, sijamtuma
Wachungaji huwaagiza wanaotaka kufunga ndoa kupima na kuleta majibu, so wachumba ndo wanapeleka, mchungaji akiona magojwa anagomesha kufungisha ndoa. Pia kuvujisha siri unaweza ukavujisha indirect, mfano ukamahauri ndugu Yako wakapime aache kuamini kwa macho.Majibu unapeleka kwa mchungaji vipi na nimekuambia Jamaa anamuamini sana Mchumba wake na aliona hakuna haja ya kupima...
Ila demu ndo kaja kupima mwenyewe bahati nzuri au mbaya kakukuta wwe kapima kitu kimebuma..
Sasa ukipeleka majibu kwa Mchungaji umevunja Confidentiality na pia umevunja kiapo.cha usiri na haufai kuwa tena mtumishi wa afya..
Demu hajaagizwa kaenda kupima mwenyewe..Wachungaji huwaagiza wanaotaka kufunga ndoa kupima na kuleta majibu, so wachumba ndo wanapeleka, mchungaji akiona magojwa anagomesha kufungisha ndoa. Pia kuvujisha siri unaweza ukavujisha indirect, mfano ukamahauri ndugu Yako wakapime aache kuamini kwa macho.
Haambiwi mtu na huo UKIMWI wapeane tu.Ukifika wakati wa kutumia dawa nitawasisitiza wasiache.Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.
Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.
Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?
Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.
Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
Ungekuw Daktari, basi kesi kama hiii Rahisi. Kuna misingi ya professionalism.Mimi nakuongeza Situation..
Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..
Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..
Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
Ni Daktari na Misingi yote naifahamu na ndo maana nimemwambia mtoa mada Situation kama hiyo..Ungekuw Daktari, basi kesi kama hiii Rahisi. Kuna misingi ya professionalism.
Safi sana,umekua mkubwa[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] Elimu isiyo na faida ni sawa na ujinga usio na hasara.Muda mwingine ni kufanya hamsini zako tuu wanasema
Baya lisilokudhuru ni sawa na jema lisilo na faida
Hiyo ni family issue,ntamsisitiza kuwa wapime afya kabla ya ndoa,akikataa ntamwambia ukweli, siwezi kuacha ndugu yangu aangamie kisa misingi ya kazi.Mimi nakuongeza Situation..
Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..
Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..
Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] Elimu isiyo na faida ni sawa na ujinga usio na hasara.