Hivi kuna watu wanaojua huwa inafanywaje?

Mimi nakuongeza Situation..

Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..

Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..

Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
Hapo ndugu yangu anaenda kujua moja kwa moja. Haina kulemba
 
Namtonya bro kimtindo, hlo siwezi vumilia.... binafsi nliuziwa file ndo pona yangu
 
Mimi nakuongeza Situation..

Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..

Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..

Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
Mzee unayoongea nimekutana nayo sana, wahudumu wa afya inabidi tuwe na uwezo mkubwa wa kutunza siri aisee sio poa, kuna jamaa yangu alitaka kuoa, akaniletea shemeji bhana nimfanyie vipimo vya radiology tuone kama mambo yapo sawa ili afunge nae ndoa, bhana si nikakuta mambo sio mambo uterine tube moja imeziba kabisa, ilikuwa ni changamoto maana jamaa ananiamini sana nikisema mambo yako fresh anaoa na nikisema vinginevyo yule shemeji ambaye tunajuana pia ataniona mi mbaya.
 
mimi nilijua ya mzazi mmoja, nimebaki nayo miaka 7 sasa na nitakufa nayo

kama siri italeta madhara ikijulikana, unaimeza

Sandoa zinatisha kwa kweli
Mimi nina LISIRI linanitesa mpaka sasa, nilishuhudia tukio la
mimi nilijua ya mzazi mmoja, nimebaki nayo miaka 7 sasa na nitakufa nayo

kama siri italeta madhara ikijulikana, unaimeza

ndoa zinatisha kwa kweli
Mimi kuna LISIRI linanitesa mpaka sasa, nilishuhudia tukio la kufedhehesha mno tena sana, miaka 20 iliyopita, kipindi hicho nipo shule ya msingi. Mtanisamehe sitaweza kutaja hilo tukio maana linafedhehesha mno kwa maadili yetu.

Hiyo siri inanitesa mpaka sasa, kila nikikumbuka natamani hata sijui nifanyeje, na mpaka sasa tunaoijua ni watatu tu, mimi na wahusika wawili (japo mmoja katangulia mbele za haki). Namuomba Mungu anisaidie nisiumie, maana nateseka mno nduguzangu, mpaka siwezi kuelezea.
 
Mimi nakuongeza Situation..

Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..

Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..

Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
Majibu hupelekwa kwa mchungaji kisha anavunja ndoa, hakuna cha kuogopa.
 
Hapo ndugu yangu anaenda kujua moja kwa moja. Haina kulemba
Mkuu Ingekuwa Nyepesi kiasi hicho.kutoa taarifa za Mgonjwa ingekuwa simple sana..
Kamwambie ndugu yako.halafu subiri Kunyang'anywa leseni ya matibabu plus 30 years Imprison
 
Majibu hupelekwa kwa mchungaji kisha anavunja ndoa, hakuna cha kuogopa.
Majibu unapeleka kwa mchungaji vipi na nimekuambia Jamaa anamuamini sana Mchumba wake na aliona hakuna haja ya kupima...
Ila demu ndo kaja kupima mwenyewe bahati nzuri au mbaya kakukuta wwe kapima kitu kimebuma..
Sasa ukipeleka majibu kwa Mchungaji umevunja Confidentiality na pia umevunja kiapo.cha usiri na haufai kuwa tena mtumishi wa afya..
 
Wifi/shemeji akichepuka naenda kusema kwa dada/kaka yangu bila kujiuliza mara nane nane
Ikitokea vice versa nakausha
Mwambie Wifi yako na msainishe mahali kwamba ikijirudia namwambia kaka,Imeisha hiyo nakulaje makombo mimi
 
Mzee unayoongea nimekutana nayo sana, wahudumu wa afya inabidi tuwe na uwezo mkubwa wa kutunza siri aisee sio poa, kuna jamaa yangu alitaka kuoa, akaniletea shemeji bhana nimfanyie vipimo vya radiology tuone kama mambo yapo sawa ili afunge nae ndoa, bhana si nikakuta mambo sio mambo uterine tube moja imeziba kabisa, ilikuwa ni changamoto maana jamaa ananiamini sana nikisema mambo yako fresh anaoa na nikisema vinginevyo yule shemeji ambaye tunajuana pia ataniona mi mbaya.
Apo mzee lazima uchukue consent tu (unamshauri kama atatama majibu uyashee na Jamaa yake) akikubali majibu kushea poa hapo inakuwa peace akigoma ndugu uthithubutu kutoa chochote..
Jela ya Kuvunja Kiapo.cha usiri na leseni itaenda hiyo
 
Back
Top Bottom