Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Wakati wewe unaona kufika kwako Dar umemaliza, vile vile kuna mwamba anakushangaa umefikaje miaka 40 hujawahi Fika ama SA ama UK, ama US, china au Dubai. m
Maisha ni fumbo mkuu kirefu kwako ni kifupi kwa mwenzio.
Kuna watu mpaka wanakufa hawajawahi fika Makao makuu ya Mkoa anaoishi. Dunia ndivyo ilivyo.
 
Mkuu huko UK process nyingi mambo ya visa and so on ila hapa bongo ni nauli tuu.
 
Chakushangaza zaidi kuna wengine hawajawahi kufika New York

1000012493.jpg
 
Back
Top Bottom