Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Ww ushawai kufika ukerewe? Ushawai kupakia mashuka? Inakuaje mtu una miaka 30+ hujui mashua wala hujawai ishi kisiwani?
Ukerewe, maisome, izumacheli, goziba, gana, kimoyomoyo, kome ilugwa hivyo visiwa vyote nishafika mkuu.
 
Back
Top Bottom