Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Inategemea unaishi Dar ipi?! Kama ni huko keko mwanga ujiandaeKwa kero za hilo jiji waliopo mikoani wanaishi poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea unaishi Dar ipi?! Kama ni huko keko mwanga ujiandaeKwa kero za hilo jiji waliopo mikoani wanaishi poa
Mkuu utanikuta magufuri stand nakuwait mrembo. Niambie tuu utavaaje mgeni wangu
Kuna watu wanatumia uwanja wa KIA na wameshazurura sana kwenye airport za Amserdam, Zurich, Michigan, LA, Frankfurt, Munich, Ataturk, DXB ,Heathrow wakati unaendelea kuishangaa Dar.Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?
How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Mkuu usitake niende Sasa hivi stand. Kwani hakuna basi la Sasa hivi?
Mrembo kama wewe huko mikoani unatafuta nini?
😂😂😂😂😂Mkuu usitake niende Sasa hivi stand. Kwani hakuna basi la Sasa hivi?
We acha tu! maisha!Mrembo kama wewe huko mikoani unatafuta nini?
Basi ushakutana na mimi sahau shida zote mrembo 😁We acha tu! maisha!
😃😃Tatizo nauli hawana.