binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ndiooo anataka kunikwaisha mwenzie nisipaone Dar.Huyo ni mpori pori mkuu🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiooo anataka kunikwaisha mwenzie nisipaone Dar.Huyo ni mpori pori mkuu🤣🤣
Safi sana mamaa, karibu sana mrembo. Safari unaqnza lini?Fanya chap! nauli natumia yangu 😀 Nimeuza alizeti tayari.
Sijawahi.Cha muhimu ushafika mrembo.
Basi itakubidi unisubiri nakuja na Irizar Katarama nakupitia hapohapo usitoke twende Dar.😂😂😂😂😂😂😂 Nimekutukana matusi mengi sana!
Mi nataka wa Darrr! (taja dar kwa lafudhi ya slei kwini)
Basi limeni mle wenyewe, huku ni bata kulima tumewaachia nyie wa bushNjaa ndiyo zinawasumbua.Mngekuwa na vyakula nani angekuja huko kufanya nini?Wakulima wanawaonea huruma wanawaletea chakula.
Karibu siku moja mkuu.Sijawahi.
Hapo uhakika! Maswala ya kunishusha Dodoma ndio chenye sitaki kusikia 😹Basi itakubidi unisubiri nakuja na Irizar Katarama nakupitia hapohapo usitoke twende Dar.😂😂😂
Akuuu!Karibu siku moja mkuu.
Yupo namtumbo huko achana nae🤣Ndiooo anataka kunikwaisha mwenzie nisipaone Dar.
Asubuhi! Nikukute wapi!?Safi sana mamaa, karibu sana mrembo. Safari unaqnza lini?
Mtakula mihogo ya kuchoma na maembe machachu kwa chumvi hadi mharishe!😂😂😂Basi limeni mle wenyewe, huku ni bata kulima tumewaachia nyie wa bush
Hutaki kuiona Chamwino,jengo la bunge na kunywa mtukuru wa Area D?😂😂😂😂Hapo uhakika! Maswala ya kunishusha Dodoma ndio chenye sitaki kusikia 😹
Na nyie msipoleta dar mtauzia wapi? Vitawaozea.Mtakula mihogo ya kuchoma na maembe machachu kwa chumvi hadi mharishe!😂😂😂
Mtukuru chaduru 😂Hutaki kuiona Chamwino,jengo la bunge na kunywa mtukuru wa Area D?😂😂😂😂
Zamani nilikuwa namshangaa mtu ambaye ajafika Dar,ila nilipokuwa mkubwa nikagua kumbe wa mikoani wanaishi vizuri sana kuliko sisi wa Dar,kwanza mji mchafu nyumba nyingi zimechoka chakula ghali hakina ladha yaani tabu tu
Malawi,Zambia,Zimbabwe,Sudan Kusini na Kenya.Kwanza ninyi hamna dolare.Na nyie msipoleta dar mtauzia wapi? Vitawaozea.
Mkuu utanikuta magufuri stand nakuwait mrembo. Niambie tuu utavaaje mgeni wangu
Unibebee na maji ya Singidani/Kindai niyaoge kidogo.Mtukuru chaduru 😂
Afu hili neno mtukuru ni la kwetu Singida 🤣
Tuna pesa tutaagiza hizo nchi mnazopeleka.Malawi,Zambia,Zimbabwe,Sudan Kusini na Kenya.Kwanza ninyi hamna dolare.
Leteni ujuaji muanze kushindia madafu.Tuna pesa tutaagiza hizo nchi mnazopeleka.