Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Nyie wa mikoani kabla ya kuja Dar hakikisheni mnajua kuvuka barabara zenye njia nane na SGR.
 
Huyo naye ni mjinga kama wewe tu.Halimi.Huwa anawatumia watu fedha walime.Kwa ufupi huwa ananunua.
Una ujima mwingi mkuu, so bhakresa anavyosema ni mzalishaji mkuu wa ngano Tz yeye ndio anaeoperate machine za kiwandani? Una umaskini wa fikra na akili.
 
Una ujima mwingi mkuu, so bhakresa anavyosema ni mzalishaji mkuu wa ngano Tz yeye ndio anaeoperate machine za kiwandani? Una umaskini wa fikra na akili.
Huwa anakudanganya.Yeye ni mfadhili tu wa kutoa fedha.Ingia kiwandani utawaona wanaozalisha bidhaa wakiwa mitamboni.Amka wewe ngosha!
 
Back
Top Bottom