Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?

How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Mkuu,

Ushawahi kufikiri kuwa kuna watu kwa mfumo wao wa maisha walivyojipangia hawataki kabisa kufika Dar, na kufika Dar kutawaharibia kabisa maisha wanayoyataka wao? Na wamefanya hivyo kwa maamuzi yao binafsi, si kwa kushindwa kufika Dar?
 
Kwa Sisi tunaoishi Obey hizô Kero hatuzijui.
Inapita Miezi na Miezi hatujafika hata Ubungo. Tunakula Raha tuu, Masaki, Mikocheni, Upanga, na Posta.
Huko nako hakuna tofauti na ubungo, wote sawa tuu na barabara zenu za tope na uchafu, bongo yote ni slum, ukiangalia kwa juu ukiwa kwenye ndege ni mabati ya kutu na nyumba zilizojengwa bila plan , ni kichaka kitupu
 
Mkuu,

Ushawahi kufikiri kuwa kuna watu kwa mfumo wao wa maisha walivyojipangia hawataki kabisa kufika Dar, na kufika Dar kutawaharibia kabisa maisha wanayoyataka wao? Na wamefanya hivyo kwa maamuzi yao binafsi, si kwa kushindwa kufika Dar?
Kufika dar kunaweza kuharibu maisha ya mtu kivipi mkuu?
 
Back
Top Bottom