Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Kwamba ukiwa nako unapaa nako ili usikae kwenye foleni eti?? Kwanza mida ya asubuhi na jioni ukiwa na gari unachoka mara mbili ya yule aliye kwenye mwendokasi

Mbona hayo mambo kawaida mkuu sehemu yenye riziki na pesa haiwezi kukosa changamoto

Hata ukikaa new York city uta face challenges mbali mbali.
 
Mbona tupo wengi tu?

Hatujafika Dar ila New York ni kama Sebuleni, London ni Dining na Amsterdam ni jikoni

Paris ndipo tunapolala

Hivi Tandale ipo Dar Es Salaam?
So kipindi unaenda London ndege ulipandia huko kwenu tandahimba?
 
Back
Top Bottom