Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hata kufika, hutaki kuamini hivyo kwa sababu wewe katika akili yako kuishi Dar es salaam ni privilege kubwa.Nimemaanisha kufika mkuu sio kuishi
Wakati kuna watu hawataki kabisa maisha ya kupandiana na watu baki wanataka maisha yao mashambani huko.