Changamoto hiyo ipo pia wilaya ya ukerewe labda kwakuwa ni kisiwa viongozi wetu wanaogopa kuvuka maji lakini tunawakaribisha waje kututembelea mara kwa mara nasi tujivunie uwepo waoNi matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundo mbinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu ktk halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Mmhh mi nilijua JPM alivoipa kipaumbele Mza na wilaya zake zingekua neemani. Ina maana Mzee baba hakuwahi fika ukerewe miaka yote hiyo???Changamoto hiyo ipo pia wilaya ya ukerewe labda kwakuwa ni kisiwa viongozi wetu wanaogopa kuvuka maji lakini tunawakaribisha waje kututembelea mara kwa mara nasi tujivunie uwepo wao
Kiongozi wa kitaifa akipita wilayani kuna baadhi ya vitu vinawekwa sawa..! Na kuna vingine hawawezi kuvificha hivyo kiongozi huvigundua na kutoa onyo au makemeoHata viongozi wakija hamna jipya Zaidi ya watu wagawane posho maisha yaendelee tu
Ndio kwenyewe huko mkuu.Aahahahhaa eeh bhana! Ukisikia Ngende ndio huko...
Hahaahhaaa bwashee kama wewe ni mtumishi hapo unaweza kusema viongozi wako hawajitumi?? By the way nimeitolea Liwale mfano, lakini Wilaya za namna hiyo bila shaka zitakua nyingi. Suala la viongozi wa kitaifa kutozuru maeneo hayo ni sababu mojawapo za kupelekea uholela ktk utendaji wa viongozi wa halmashauri. Kuthibitisha hili niambie ni mwaka gani Liwale ilipata hati safi kutoka kwa CAG??Mkuu kuhusu wilaya ya liwale kutokutembelewa na top officials Hilo nalikubali ,ni muda sasa Niko huku lakini sijawahi kuona hata waziri wa maji kaja kuitembelea wilaya yetu,so sad[emoji26][emoji26]
Lakini kuhusu viongozi wa wilaya kufanya maamuzi mabaya au kufanya ulegevu eti kisa tu hakuna top government official atawatembelea Hilo sikubaliani nalo,wilaya yangu inachapa kazi kwelikweli,nakumbuka enzi za kina Justine Monko akiwa mkurugenzi wangu,jamaa alikuwa anajituma Sana,na Hadi Leo hii viongozi wangu wanajituma Sana tu.
Wakiacha Ushirikina na Majungu watatembelewa kila Siku tu na Maendeleo watayapata kwa haraka.Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundo mbinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu ktk halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Lindi.Ipo mkoa gani hyo wilaya