Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Pale hamna barabara ya Nach-Mtama bali ipo Nach-Ndanda na Nach-Nanganga, ipo pia Nanganga-Rwangwa zote hizo ni vumbi
Ok ok nimekuelewa vizuri..
Kumbe ni Nachingwea -Nanganga...ndio maana niliweka maeneo ya Mtama..nilikuwa nimesahau hi hicho Kijiji Cha Nanganga...nimepita barabara hiyo miaka karibu 15 iliyopita...dah mpaka Leo vumbi? Na ngunja ile ya Nachingwea😀 serikali haifanyi haki kwa kweli...Nachingwea ni wilaya yenye historia kwa ukombozi kusini mwa Afrika na hasa Msumbiji...Kuna kikosi Cha Jeshi pale tangu miaka ya 60...halafu Kuna kambi za wakimbizi kwa miaka hiyo kama kile Farm 17...wakati wa ukoloni kulikuwa na mashamba makubwa ya karanga (mtesa)..serikali iwe inafikiria mambo haya jamani...dah...
 
Nimepata bahati ya kutembelea wilaya zote za Tanzania, Ila route ya liwale ni mbovu kuliko wilaya zote.

Mnazungumzia Ludewa wakati robo ya barbara toka Njombe ni zege na inaendelea kujengwa!!?
 
Liwale ni shida, nyumbani kwa Mhe. RMK
 
Ila hivi juzi tu hapa PM kawatembelea huko, kwa taarifa tunazozisikia ni kwamba, AFISA MIPANGO wa huko kasimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya Ofisi ya umma

Na si hivyo tu kagomea uzinduzi wa barabara kwa kuwa haijakamilishwa kwa kuwekewa taa za barabarani na hospital mpya pia kutokana na ubadhirifu

Mmeanza kutembelewa, kibaya ni kwamba; MADIWANI WA HALMASHAURI hiyo inaonesha ni dhahiri wapo pale ila HAWATAMBUI MAJUKUMU YAO.

WAKIPEWA 20000/= Kama posho huridhika huku watendaji wakijichotea mapesa watakavyo

Na tatizo lingine huko kwenu LIWALE kumetawaliwa na majungu sana, utapendwa ukiwa ROYAL kwao na ukionesha mawazo kinzani kwao hasa kwa baadhi ya viongozi wa HALMASHAURI, Cha moto utakiona
Hii ziara ya PM mimi imenifurahisha sana...!! Na hasa imeakisi kile nilihokua nimekisema hapo awali kwenye uzi huu. Ukweli ni kwamba watendaji wetu wasipotembelewa kwa muda mrefu wanajisahau.....!! Kongole Mhe. WM KMM na Mbunge wangu wa Rwangwa
 
Ila hivi juzi tu hapa PM kawatembelea huko, kwa taarifa tunazozisikia ni kwamba, AFISA MIPANGO wa huko kasimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya Ofisi ya umma

Na si hivyo tu kagomea uzinduzi wa barabara kwa kuwa haijakamilishwa kwa kuwekewa taa za barabarani na hospital mpya pia kutokana na ubadhirifu

Mmeanza kutembelewa, kibaya ni kwamba; MADIWANI WA HALMASHAURI hiyo inaonesha ni dhahiri wapo pale ila HAWATAMBUI MAJUKUMU YAO.

WAKIPEWA 20000/= Kama posho huridhika huku watendaji wakijichotea mapesa watakavyo

Na tatizo lingine huko kwenu LIWALE kumetawaliwa na majungu sana, utapendwa ukiwa ROYAL kwao na ukionesha mawazo kinzani kwao hasa kwa baadhi ya viongozi wa HALMASHAURI, Cha moto utakiona
Nimeona na Kilwa kuna kitu kakifanya kwa wale vijana wa TRA.
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Mkuu hata ungekuwa wewe usingeenda Liwale, kule kila mtu mchawi ama mshirikina anayesali swala 5 kwa siku huku akifuga majini/chuma ulete. Sehemu yeyote ya wachawi huwaga hawapendi maendeleo hata siku moja, utawahamasisha ila wapi, wao wanawaza kufuga majini tu.
 
Jamani jamani jamanii....
 
Liwale imeshika mkia.

Hii halmashauri ingevunjwa tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni matumaini yangu mu wazima..!?

Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!

Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??
Hizo zinazo tembelewa zina nini cha maaana
 
jiwe angavu hahahahh mkuu ikivunjwa itakuaje sasa! Si unajua kule ndio nyumbani kwa waziri mkuu wa Enzi zile....
 
Back
Top Bottom