Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

Navokuogopa sasa! [emoji1783]! Una ukichaa wako ukiamkaga [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1783][emoji1783]!
Hamna wala sina ukichaaa, nilijiunga jf sababu ya jukwaa la siasa. Sasa kule nilikua nakutana na vichwa ngumu wana matusi na kila aina ya maneno. Ilikua kila mara naoga matusi kutoka kwa bavicha. Nikasema basi tutaanza kwenda sawa

Wajinga sana wale. Siku hizi siingii kabisa huko hata sijui nn kinaendelea
 
Akili za mwanadamu hupenda kugundua vitu vipya kila siku.

1. Mwanadamu anajua ladha ya mkojo ipoje

2. Mwanadamu anajua ladha ya kinyesi ipoje

3. Mwanadamu huyohuyo baada ya kujua vyote hapo juu akaona ajaribu ladha ya ule ute unaotoka kwa manamke.

4. Ni huyo huyo.mwanadamu(hasa wa kike) anajua ladha ya sperm ipoje hata kuzidi wanaume wenyewe wenye sperm zao(semens+sperm)

Mwanadamu huyo huyo anajua ladha ya damu ya mwanadamu mwenzake au ya kwake ipoje.
Labda wewe ila usigeneralize, hiyo ladha ya namba 2 siijui na sitokaa niijue zingine kama mkojo naassume kutokana jasho lina chumvi basi nakisia na hiyo itakuwa hivyo

Kuhusu damu kawaida tu hata wakati tunakua ilikuwa ukijikata na kiwembe wakati wa kuchonga penseli tuliassume ili damu ikate nyonya kidole
 
Back
Top Bottom