Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

Navokuogopa sasa! [emoji1783]! Una ukichaa wako ukiamkaga [emoji119][emoji119][emoji119][emoji1783][emoji1783]!
Hamna wala sina ukichaaa, nilijiunga jf sababu ya jukwaa la siasa. Sasa kule nilikua nakutana na vichwa ngumu wana matusi na kila aina ya maneno. Ilikua kila mara naoga matusi kutoka kwa bavicha. Nikasema basi tutaanza kwenda sawa

Wajinga sana wale. Siku hizi siingii kabisa huko hata sijui nn kinaendelea
 
Labda wewe ila usigeneralize, hiyo ladha ya namba 2 siijui na sitokaa niijue zingine kama mkojo naassume kutokana jasho lina chumvi basi nakisia na hiyo itakuwa hivyo

Kuhusu damu kawaida tu hata wakati tunakua ilikuwa ukijikata na kiwembe wakati wa kuchonga penseli tuliassume ili damu ikate nyonya kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…