myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤣🤣Hata chumvi. Waukize watu wote hapo ofisini watakuambia chumvini hawaingii hata huyo mzee mwenye sharubu mzee wa kanisa. Hata yule imam atakuambia hafanyi huo ujinga. Ila ukweli ni kwamba zaidi ya asilimia 50 ya wanaume wanashuka chumvini. Tena wengi wanaingia chumvini kavu kavu cha ajabu huku chini kavaa ndomu.