Hivi kuoga ni lazima ujisugue na madodoki ? au ni kwasisi maskini tu na wazee wa kazi ngumu

Hahahaha...leso mwee jamani Sasa unatakata kweli
Hata bila leso naoga vizuri tu na natakata, kwa kazi zetu za kupost mitandaoni unachafuka nini kiasi cha usipoogea dodoki usitakate? Kuoga mara mbili kwa siku na bado nising'ae

Kwa dasalama joto na kuvuja jasho kunasaidia pia kuulainisha na kupunguza uchafu.
 
Inakuwa ishafuliwa indirect bila, kule kujisugua ndo kufikicha kwenywe 😂😂😂
Kipindi na x wife wangu nilikua nikiingia bafuni nazikuta za kutosha zimetundikwa nachagua moja romantic,natia povu jingi naogea tu kama kawa🤣🤣🤣🤣
 
😃👏Sawa mkuu nimekuelewa
 
Inakuwa ishafuliwa indirect bila, kule kujisugua ndo kufikicha kwenywe 😂😂😂
Dah ila kuna makufuli yanahamasisha kimouma , mimi na mwanamke anaetupia makufuli makali hauwezi nitenganisha asee🤣🤣🤣😅
 
Kipindi na x wife wangu nilikua nikiingia bafuni nazikuta za kutosha zimetundikwa nachagua moja romantic,natia povu jingi naogea tu kama kawa🤣🤣🤣🤣
Kwamba anayoichagua kaikuta bado mbichi ilihali ilikuwa na siku 7 bafuni 🤣🤣
 
Back
Top Bottom