Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hapana huwa natumia leso hainipi shidaTumia dodoki OG kutoka kwenye mdodoki achana na hizo mbwembwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana huwa natumia leso hainipi shidaTumia dodoki OG kutoka kwenye mdodoki achana na hizo mbwembwe
Mdodoki upoje😁😁Tumia dodoki OG kutoka kwenye mdodoki achana na hizo mbwembwe
😔😔😄Khaaaa ...!!Masikini ndio huoga na kuvaa vizuri ili kuficha umasikini wao.
Wadada wengi huwa wanatumia tu kufuli mchezo unakua umeisha .Tumia dodoki OG kutoka kwenye mdodoki achana na hizo mbwembwe
Hahahaha...leso mwee jamani Sasa unatakata kweliHapana huwa natumia leso hainipi shida
Hata bila leso naoga vizuri tu na natakata, kwa kazi zetu za kupost mitandaoni unachafuka nini kiasi cha usipoogea dodoki usitakate? Kuoga mara mbili kwa siku na bado nising'aeHahahaha...leso mwee jamani Sasa unatakata kweli
Inakuwa ishafuliwa indirect bila, kule kujisugua ndo kufikicha kwenywe 😂😂😂Wadada wengi huwa wanatumia tu kufuli mchezo unakua umeisha .
Halafu ukute unayo kama saba hivi kwenye bafu kama mayai kobra 🤣Mdodoki upoje😁😁
Kipindi na x wife wangu nilikua nikiingia bafuni nazikuta za kutosha zimetundikwa nachagua moja romantic,natia povu jingi naogea tu kama kawa🤣🤣🤣🤣Inakuwa ishafuliwa indirect bila, kule kujisugua ndo kufikicha kwenywe 😂😂😂
😃👏Sawa mkuu nimekuelewaHata bila leso naoga vizuri tu na natakata, kwa kazi zetu za kupost mitandaoni unachafuka nini kiasi cha usipoogea dodoki usitakate? Kuoga mara mbili kwa siku na bado nising'ae
Kwa dasalama joto na kuvuja jasho kunasaidia pia kuulainisha na kupunguza uchafu.
Dah ila kuna makufuli yanahamasisha kimouma , mimi na mwanamke anaetupia makufuli makali hauwezi nitenganisha asee🤣🤣🤣😅Inakuwa ishafuliwa indirect bila, kule kujisugua ndo kufikicha kwenywe 😂😂😂
Kwamba anayoichagua kaikuta bado mbichi ilihali ilikuwa na siku 7 bafuni 🤣🤣Kipindi na x wife wangu nilikua nikiingia bafuni nazikuta za kutosha zimetundikwa nachagua moja romantic,natia povu jingi naogea tu kama kawa🤣🤣🤣🤣
Kuna yale ya chui chui 😄Dah ila kuna makufuli yanahamasisha kimouma , mimi na mwanamke anaetupia makufuli makali hauwezi nitenganisha asee🤣🤣🤣😅
CarcinogenicView attachment 3178641
View attachment 3178642
Hizi sabuni ni nzurii sanaa ambae hajawai kuzitumia aanze kuzitumia..
Vyema, uwe na siku njema mkuu😃👏Sawa mkuu nimekuelewa
Naomba unipe maelekezo boss zipojeView attachment 3178641
View attachment 3178642
Hizi sabuni ni nzurii sanaa ambae hajawai kuzitumia aanze kuzitumia..
itakuwa unaupungufu wa vitamin B.Madodoki nikitumia nawashwa sana hasa vile vijiglovs twa kuvaa kiganjani.