kwa upande wangu, hii kitu inayoitwa mapenzi inategemea mtazamo wa mhusika mwenyewe ukiambatana na msimamo wenye sababu mahususi zinazokufanya kuyaita kama unavyoona inafaa. Wewe unaona sio normal kwa ku refer jamii furani unayojilinganisha lakini kuna wengine wanafanya hata zaidi ya yakwako still they call it love. Tatizo hapa ni kuto ku meet expectations za wasichana uliokutana nao na we kukili kutokuwa na msukumo. Tofauti na wengene wanaofanya mda mwingine purposely lakini wanakataa eti kwa jina la mapenzi. To me I take love as personal perseption.