Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Hapana,alienda kuishi Kenya lkn ni mcongoSi kwamba alikua mkenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,alienda kuishi Kenya lkn ni mcongoSi kwamba alikua mkenya?
Mumewe yupo Dar na anakanisa pale kinondoni studioAngela alikuwa mkongo anaeishi Kenya. Kuna baadhi ya nyimbo zake aliimba kilingala mf jubilee.
Alikuwa na watoto tena alifariki na kuacha mtoto mchanga. Mume wake nadhali alikuwa mchungaji kuna baadhi ya nyimbo alimshirikisha. Huyu dada alikuwa na talanta kutoka kwa Mungu. R.I.P
Fanuel Sedekia alikuwa fundi R.I.P
Mmmh Bahati Bukuku mtu wa MbeyaAngela Chibalonza niMkongo alieishi na kufia Kenya.
Emachichi ni Mkongo alieishi na kufia Kenya,.
Emmanuel Ushindi ni Mkongo anayeishi Kenya.
Nadhani Christina Shusho naye ana asili ya Kongo, pia Bahati Bukuku(Bouchouchou) nadhani(sina uhakika).
Nilitaka kumtaja. Mama fulani anasauti nzito kama kina mama wa mbeya rejea nyimbo kama Abneri na waraka wa amani zilizo imbwa na bahati bukukuKuna Sarah K,nadhani ni mkenya
Ameimba usiyeshindwa
Mnyunyizi
Hakuna silaha na nyinginezo,ni moto
Hii Cc: mahondaw mana yake nn kwa post zako na wengine wachache naowaona??
She was the best, na pia alikua anajua kukupa neno na likakukaaDuh chibalonza noma
Hiyo michambo anayotoa kwa aliyekuwa mume wake basi atakuwa ni Mcongo.Angela Chibalonza niMkongo alieishi na kufia Kenya.
Emachichi ni Mkongo alieishi na kufia Kenya,.
Emmanuel Ushindi ni Mkongo anayeishi Kenya.
Nadhani Christina Shusho naye ana asili ya Kongo, pia Bahati Bukuku(Bouchouchou) nadhani(sina uhakika).
Chibalonza alikuwa kiboko. Mpaka leo napenda nyimbo zake. Mungu ampe pumziko la milele!Wakuu,
Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza
Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda.
Itachukua muda sana kuziba mapengo yao.
Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?