Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
ntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flora mbasha wa enzi zile siku hizi keshakuwa mtumishi wa kidigitali.
Hahah zamani watu walikuwa wanaimba kweli bwana sio utopolo wa YouTube saiviYaani kuna watu wana vipaji extra ordinary. Mimi huwa najiuliza tu watu wale walioimba nyimbo za Christmas, Jingle bells yaani imekuwa anthem miaka yote
Angela alikuwa mkongo anaeishi Kenya. Kuna baadhi ya nyimbo zake aliimba kilingala mf jubilee.Naomba kujua kama chibalonza aiiacha watoto au mume
Walikuwa RAIA wa nchi gani naskia Congo ,wengine wanasema ni mrundi
Kusikiliza Muziki wa bongo, yataka moyo sana.Hahah zamani watu walikuwa wanaimba kweli bwana sio utopolo wa YouTube saivi
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuna watu wana vipaji extra ordinary. Mimi huwa najiuliza tu watu wale walioimba nyimbo za Christmas, Jingle bells yaani imekuwa anthem miaka yote
Duh kama kaanza hivyo basi ni hatari.Mara kaolewa Mara kaachika Mara anatoka na nani sijui ..
Skendo sio nzuri kwa MTU anayeiimba dini
Dah so sad why watu wazuri wanaondoka mapema?Angela alikuwa mkongo anaeishi Kenya. Kuna baadhi ya nyimbo zake aliimba kilingala mf jubilee.
Alikuwa na watoto tena alifariki na kuacha mtoto mchanga. Mume wake nadhali alikuwa mchungaji kuna baadhi ya nyimbo alimshirikisha. Huyu dada alikuwa na talanta kutoka kwa Mungu. R.I.P
Fanuel Sedekia alikuwa fundi R.I.P
Kwel mkuu aiseeKusikiliza Muziki wa bongo, yataka moyo sana.
Ukishaonja muziki mzuri watu wataanza kukuona siyo mzalendo au unaringa.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kusikiliza Muziki wa bongo, yataka moyo sana.
Ukishaonja muziki mzuri watu wataanza kukuona siyo mzalendo au unaringa.
Ndio hivyo tunaambiwa kizuri hakidumu.Dah so sad why watu wazuri wanaondoka mapema?
Nimegundua ila wakongo wanajua sana muziki
Flora mbasha wa enzi zile siku hizi keshakuwa mtumishi wa kidigitali.
Si kwamba alikua mkenya?
Mkuu nna imani unatania
Ekwuemeee.Chinedumo
Dada alikuwa na sauti aisee..RIP Chibalonza.Duh chibalonza noma
Mimi pia namkubali shushoo sana ana mguu mzuri mnoo... hua sichoki kuntazama kwa jicho la matamanioNDIO MKUU KUNA NABII NA ZAMA ZAKE NI SUALA LA MUDA TU WATATOKEA WASANII WAKALI ZAIDI YA HAO
ILA KWA UPANDE WANGU NAMKUBALI SANA CHRISTINA SHUSHO ZAIDI YA CHIBALONZA
Upo sahihi, yule dada mzuri sana kusema kweli.Mimi pia namkubali shushoo sana ana mguu mzuri mnoo... hua sichoki kuntazama kwa jicho la matamanio
Mimi pia namkubali shushoo sana ana mguu mzuri mnoo... hua sichoki kuntazama kwa jicho la matamanio
Penye miti hapakosi wajenziUpo sahihi, yule dada mzuri sana kusema kweli.