Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Ni kwasababu umeharibu kuwafananisha na wengine embu jaribu kuwatazama Kama manabii kua kila mtu amebeba ujumbee wake kwa wakati wakee utagundua kila muimbaji ana upako na baraka zake kwa nyakati na majira tofauti.
Ingawa sikupingi hakutakuweko na Angela Chibalonza mwingine Wala Fanuel Sedekia mwingine
Yote sawa mkuu
 
Kwakweli ni upande wako..
Ila chibalonza alikua vyema saana
NDIO MKUU KUNA NABII NA ZAMA ZAKE NI SUALA LA MUDA TU WATATOKEA WASANII WAKALI ZAIDI YA HAO
ILA KWA UPANDE WANGU NAMKUBALI SANA CHRISTINA SHUSHO ZAIDI YA CHIBALONZA
 
Angel Chibalonzi ilikuwa ni karama ya rohoni haswa, licha ya uimbaji, nahisi alikuwa na kitu kingine cha rohoni Mungu ameweka.

Sedekia pia ni mzuri mno.

Abiud ni moja ya waimbaji bora kbs aliyebakia. Nyimbo zake nyingi zipo rohoni mno.

Mm nampenda sana Abiud na Chibalonza kuwasikiliza.
 
Takbiir. Inallah Maswabirina!
 
Angel Chibalonzi ilikuwa ni karama ya rohoni haswa, licha ya uimbaji, nahisi alikuwa na kitu kingine cha rohoni Mungu ameweka.

Sedekia pia ni mzuri mno.

Abiud ni moja ya waimbaji bora kbs aliyebakia. Nyimbo zake nyingi zipo rohoni mno.

Mm nampenda sana Abiud na Chibalonza kuwasikiliza.
Lakini kwanini Angela kaondoka.mapema sana? Halafu fanuel sedekia mwishoni mwa jina lake walikuwa anaandika Tm ilikuwa na maana gani?

Naskia mkewe na watoto mdogo wake anawatunza
 
Back
Top Bottom