Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Naomba kujua kama chibalonza aiiacha watoto au mume

Walikuwa RAIA wa nchi gani naskia Congo ,wengine wanasema ni mrundi
 
Anakwambia kamata pindo la yesu shikilia hahahah
Hadi utamu wa Yesu mwenzio ana ujua, unadhan masikhara Yesu hadi kumpa utamu wake yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angel Chibalonzi ilikuwa ni karama ya rohoni haswa, licha ya uimbaji, nahisi alikuwa na kitu kingine cha rohoni Mungu ameweka.

Sedekia pia ni mzuri mno.

Abiud ni moja ya waimbaji bora kbs aliyebakia. Nyimbo zake nyingi zipo rohoni mno.

Mm nampenda sana Abiud na Chibalonza kuwasikiliza.
Hilo zee nilikuwa nalisikiliza nalichukulia poa ila naona nyimbo zake zinaniingia taratibu. Linajua sana.
 
Chibalonza wako wengi tu ila kwa Sedekia wako wachache saana ila Abiud ni kiboko zaidi ya wote hao
 
Wakuu,

Sasa hivi nimetulia ghetto nikipata kusikiliza gospel za hao watu wawili ,fanuel sedekia na Angela muriri chibalonza

Nimegundua hao watu walikuwa mbele ya muda.
Itachukua muda sana kuziba mapengo yao.

Je, kuna waliofanikiwa kuziba mapengo yao mpk sasa?
Yaani kuna watu wana vipaji extra ordinary. Mimi huwa najiuliza tu watu wale walioimba nyimbo za Christmas, Jingle bells yaani imekuwa anthem miaka yote
 
Back
Top Bottom