Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Flora mbasha wa enzi zile siku hizi keshakuwa mtumishi wa kidigitali.

Yaani kuna watu wana vipaji extra ordinary. Mimi huwa najiuliza tu watu wale walioimba nyimbo za Christmas, Jingle bells yaani imekuwa anthem miaka yote
Hahah zamani watu walikuwa wanaimba kweli bwana sio utopolo wa YouTube saivi
 
Naomba kujua kama chibalonza aiiacha watoto au mume

Walikuwa RAIA wa nchi gani naskia Congo ,wengine wanasema ni mrundi
Angela alikuwa mkongo anaeishi Kenya. Kuna baadhi ya nyimbo zake aliimba kilingala mf jubilee.

Alikuwa na watoto tena alifariki na kuacha mtoto mchanga. Mume wake nadhali alikuwa mchungaji kuna baadhi ya nyimbo alimshirikisha. Huyu dada alikuwa na talanta kutoka kwa Mungu. R.I.P

Fanuel Sedekia alikuwa fundi R.I.P
 
Dah so sad why watu wazuri wanaondoka mapema?
Nimegundua ila wakongo wanajua sana muziki
 
Fanuel Sedekia, sikumbuki wimbo gani..katikati unaimba...''kwa kazi ya msalabaaaa yaa kale yote yamepitaa'' na wimbo wake wa manukato,nilizipenda sana hizi nyimbo mbili... RIP

Angela- Ebenezer .. RIP
 
Back
Top Bottom