Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

Hakikisha inatoa inta wakati wa kuvuta hiyo ndio mjani OG.

Moshi wake unakuwa mzito na hutakiwi kuvuta sehemu Za kerere mana kama Ni kwenye mziki unaweza kumwambia DJ azime mziki mana kuna vitu vyako muhimu unavifikiria [emoji23][emoji23][emoji23]

Achana na ile kitu kabisa Ina maswali fikirishi sana Na kila jibu unalojipa bado litaleta swali.

Na jibu kamili likija basic ndio Hilo hilo.
Inafanya mtu unachimba sana au sio
 
Kitu kizuri kwenye bangi haina addiction ila chunga sana usitumie bangi pamoja na vitu vingine kama pombe na sigara kama unaona ni mtumiaji wa hivyo vitu basi acha usitumie bangi kabisa.

Pia Chunga sana hizi bangi zinazouzwa mtaani kutokana na kuwa bangi ni illegal hapa kwetu tunakosa vyombo vya kusimamia ubora wa bangi kuanzia shambani mpaka kumfikia mtumiaji kitu kinachopelekea watu wengi kuvutishwa uchafu ambao ni hatari sana kwa afya ya akili nyingine wanachanganya na petrol/diesel ili kuongeza ukali, hivyo umakini ni muhimu ukishindwa bora usitumie kabisa.
Hapo kwenye kupata anaeuza yenyewe ndio shida
 
Inafanya mtu unachimba sana au sio
Eee man.

Kuna siku niliuchambua huu ulimwengu Na Dini zake asee.

Kuanzia hiyo siku nikaachana Na Dini.

Kuhusu jibu la mungu yupo au hayupo asee ilikuwa inagonga kengere sana.

Nikaja kupata jibu kwamba yupo ambaye amedizain hii galaxy
 
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya?

Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu.

Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi sana, yupo jamaa mmoja aliniambia bangi ni dawa .

Je inamadhara Gani??

Natamani nianze kuvuta bangi ila sijui nazipata vipi nikipata mtu WA kuniuzia itakua poa sana nipo Toangoma hapa [emoji41]
Tatizo serikali haipati kodi

Shida inaanzia hapo 😂😂

Maana hata pombe kali zinauzwa ila kwa kuwa kodi inapatikana hakuna neno
 
Haina madhara ila vuta kwa step usivute kama ratiba ya kila muda.
Kama mwanao alivyokwambia ni dawa ni kweli bangi ni dawa hivyo unatakiwa uvute pale ambapo una uhitaji (purposefully)
Huwezi kunywa piriton kila muda hata kama huna mafua eti kisa inaleta usingizi hiyo itakuwa (abuse)
 
Ukitakq kujua madhara ya bangi angalia wale jamaa wa Arusha wanaozurura na piki piki ila sio boda boda wanaojiita Wadudu wale watakupa picha kamili.

Bangi mbaya sababu inasisimua homoni zinazotakiwa kutumika kwa kusudio maalumu. Yaani ni sawa na kupaka mkongo wakati hauna mwanamke. Lazima uharibu.

Usijichoshe Mkuu.
 
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya?

Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu.

Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi sana, yupo jamaa mmoja aliniambia bangi ni dawa .

Je inamadhara Gani??

Natamani nianze kuvuta bangi ila sijui nazipata vipi nikipata mtu WA kuniuzia itakua poa sana nipo Toangoma hapa [emoji41]
Toangoma mtafute Jenerali nyumbani kwake kwa nje zimetundikwa raba kwenye nyaya za umeme. Utanishukuru baadae

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Ukitakq kujua madhara ya bangi angalia wale jamaa wa Arusha wanaozurura na piki piki ila sio boda boda wanaojiita Wadudu wale watakupa picha kamili.

Bangi mbaya sababu inasisimua homoni zinazotakiwa kutumika kwa kusudio maalumu. Yaani ni sawa na kupaka mkongo wakati hauna mwanamke. Lazima uharibu.

Usijichoshe Mkuu.
Wale wanajichetua tu mkuu

Weed haitaki uwe vile hata kidogo..
 
Nsaidie pakuipata hi yenyewe uku mtaani wanaleta makapi tu
Hakikisha inatoa inta wakati wa kuvuta hiyo ndio mjani OG.

Moshi wake unakuwa mzito na hutakiwi kuvuta sehemu Za kerere mana kama Ni kwenye mziki unaweza kumwambia DJ azime mziki mana kuna vitu vyako muhimu unavifikiria 😂😂😂

Achana na ile kitu kabisa Ina maswali fikirishi sana Na kila jibu unalojipa bado litaleta swali.

Na jibu kamili likija basic ndio Hilo hilo.
 
Kitu kizuri kwenye bangi haina addiction ila chunga sana usitumie bangi pamoja na vitu vingine kama pombe na sigara kama unaona ni mtumiaji wa hivyo vitu basi acha usitumie bangi kabisa.

Pia Chunga sana hizi bangi zinazouzwa mtaani kutokana na kuwa bangi ni illegal hapa kwetu tunakosa vyombo vya kusimamia ubora wa bangi kuanzia shambani mpaka kumfikia mtumiaji kitu kinachopelekea watu wengi kuvutishwa uchafu ambao ni hatari sana kwa afya ya akili nyingine wanachanganya na petrol/diesel ili kuongeza ukali, hivyo umakini ni muhimu ukishindwa bora usitumie kabisa.
Ingine wanachanganya na pili pili, ndo maana vijana wanavurugwa hovyoo.
 
Bangi na sigara hutakiwi kuacha bali unatakiwa kupunguza. Kuvuta bangi siyo makosa. Hata kwenye Biblia wakati wa Nuhu kwenye safina Yule njiwa Nuhu alimtuma kuangalia kama maji yamekauka alirudi na jani mdomoni naam na hilo Jani ndo bangi yenyewe.

Legalise it maamae
🤣🤣
 
Back
Top Bottom