Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

Hivi kuvuta bangi Kuna madhara Gani?

Kuna mpwa nimemlea na kuishi naye vizuri, alikua na ndoto kubwa sana kimaisha, ila tunampoteza tukiona kisa bangi.
 
Humu jukwaaani pusha wetu ni mmoja tu, naye ni Maghayo ..
Mcheki ana kitu standard.
On a serious note , bangi itakubangua pale tu utakapokula makushabu ya kiwaki.
Lazma upate indoor high grade ambazo utachagua either sativa au indica depending on your preference.
Na kuivuta pia kuna utaratibu wake sio unapuliza tu kama unachochea jiko la kuni.
Duuh
 
diabetes8-org.jpg
 
Bangi madhara yake ni ya muda mrefu na inahitaji uelewa wa hali ya juu kuelewa kua bangi imekuathiri.

Madhara yake makubwa ni kwenye tabia. Unaweza jikuta unageuka kua mtu wa kupenda kujitenga sana na watu au kugeuka kujikuta kampani yako unayopenda ni ya wavutaji wenzako. Hapa bangi inaweza kuua maisha yako ya kujichanganya na watu mbali mbali.

Inaweza kukupa tatizo la kupoteza kumbukumbu pia hasa kumbukumbu za muda mfupi.

Itakubadilisha muonekano. Hapa nazungumzia kukuchoma mdomo na kua mweusi na kubadili muonekano wa macho pia.

Na kadharika
 
Ni ngumu asee na ukiwacha ni dhambi. Ni kupunguza tu uvutaji.
Binafsi nasema NIMEACHA sababu siivuti tena.

Ilikuwa inanifikirisha sana na kila kitu inataka ukichambue swali kubwa (kwanini)
 
Duh naitamani sana
Ukitaka kuvuta bangi kaka uwe na hela ya kula,maana inakawaida ya kuleta njaa sana,pia uwe mtu wa kupenda vitu vitamu vitamu kama kashata visheti ubuyu,bila kusahau maji na majuisi usikose inakawaida ya kukausha maji mwilini,na pia kumbuka ukivuta bangi kwa nongwa zinakasumba ya kusahaulisha,alafu bangi ni kinga ya ukimwi,yaani ukivuta hii.michongo ya kuwa na mademu wengi itakupitia mbali sana,pia usisahau ukivuta bangi mwanamke hata kama alikukubari kwa kukujaribu tuu basi atajikuta anashindwa kabisa kukuacha,na ukitaka kuwa mpole usiyependa makelele wala maugomvi,bangi ni kimbilio sahihi.Vuta bangi kwa faida yako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom