jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Nchi ina mfumo wa hovyo sana sisi tumesema kwenye utawala wa mkapa, kikwete na sasa magufuli tuna mfumo wa hovyo mno na hatufanyi vetting ya kutosha sasa idara imevamiwa na wahuni wa ccm na pia wazee wamewekwa bench, nchi ipo hoi sana.Wengi ni vilaza wamewekwa bila utaratibu....wengi walifeli shuleni
Maskini kijana wa watu akiwa na lumbesa la mawe ndani ya mkokoteni .........
Na hapo ni mkoani Dodoma, sijui akija mjini jijini Dar es salaam itakuwaje.Mkuu ukiona V8 nyeusi ina vioo vya giza basi unababaika na kuconlude kuwa hao ni walinzi wa viongozi.
Chunga kuna siku utakuja kutapeliwa.
Hama nchi mkuu usije kufa na stress bure!!Nchi ina mfumo wa hovyo sana sisi tumesema kwenye utawala wa mkapa, kikwete na sasa magufuli tuna mfumo wa hovyo mno na hatufanyi vetting ya kutosha sasa idara imevamiwa na wahuni wa ccm na pia wazee wamewekwa bench, nchi ipo hoi sana.
Mind your very own business bro!!Hamna watu siwapendi kama wavaa Kaunda suti fulani! Yaani akishavaa hio Kaunda suti anajiona yuko juu ya sheria na juu ya kila kitu.
Why don't you just do the same?! Did I quote or mention you?!Mind your very own business bro!!
Hizo stress mwisho wa siku anaishia kumtia risasi mkewe na yeye anajaribu kujipiga risasi anazimia hafi 😁labda huwa hawalipwi vizuri, hivyo stress zinawasumbua au huyo alikuwa mtoto wa kigogo sio msalama