Hivi kuwa na umri mkubwa ni aibu?

Hivi kuwa na umri mkubwa ni aibu?

ogm12000

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
304
Reaction score
86
Nimeona watu wengi hasa hasa wa bongo wakishafika miaka zaidi ya 30 basi wanaanza kuficha miaka. Ni kutokana na nini hii tabia? Ni aibu au?
 
na wewe kwa nini ni mfukunyuku wa kutaka kujua umri wa mtu...
kwani wewe ni Waziri wa Besidei???
 
Back
Top Bottom