Hivi kuwa single mama ni ulemavu au kosa?

Lakini ukweli ni kuwa wengi pia wamekuwa wakii "abuse" system ya "social benefits" kwa kutumia sifa hiyo

Naona ushaanza kuingia kwenye uongo taratibu....

Verified single mother hivi ana abuse vipi system ya "benefits"?

Huwezi elezea hili!

Kimalezi niliyokulia, kuwa "single mother" mwenye kuishi kivyako ni kuwa mama mzaa kiharamu.

Faizafoxy,huoni hoja yako inageuka hovyo iwapo muhusika labda alibakwa jee?

Hapo huoni una-alienate mwanadamu aliyebakwa then akapata mtoto bila ridhaa yake,huoni wewe unaembagua ni sehemu ya tatizo na sio solution?

amii niliyokulia, mtoto asiye na baba ni yatima na yatima si wa kulelewa na "single mother".
Analelewa na nani?

Kwanza ni jukumu la ndugu wa karibu kumuhifadhi mtoto na mama aliyefiwa na mumewe ili mtoto/watoto walelewe kama vile hawajaondokewa baba mzazi na hali kadhalika kwa aliye achana na mumewe.

Hivi unamleleaje mama mtu mzima?

Ahame kwenye nyumba aliyojenga na mumewe marehemu aje akae na nani hasa kwa hao ndugu unaosemea?

Yaani tuseme unamridhisha huyo mwanamke kwa ndugu ndani ya huo ukoo wa marehemu,hivi mila hizi za mapangoni si ndio tunazipiga vita sasa hivi wewe ndio unazisemea?

Halafu mtoto sio wa ndugu,mtoto ni wa huyo mwanamke,ndugu hana mamlaka yoyote na huyo mtoto ukiacha biological mama yake aliyebaki baada ya baba kufariki1

Kiserikali,mwanamke kurithiwa ("kulelewa" kama unavyotuaminisha hapa) na ndugu hakutambuliwi kisheria.

Na to top it all,mila hazina nguvu kiserikali kwenye nchi...

Nachokigundua una advocate wanawake wajane kurithiwa ila wewe umeipa jina feki la "kulelewa" of which hujatoa maelezo ni kivipi hasa!
 
Sidhani kama watakuelewa... sababu...

Binadamu was siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Ana abuse system kwa kusema "single mother" wakati baba yupo na anajulikana na tunawafahamu wengi sana wa namna hiyo. Verified? You must be kidding. Who is there to verify or unverify the unverifiable?

Hata anaebakwa si single mother. Ni mtoto aliyepachikwa kwa kubakwa na huyo huhesabika ni yatima.

Analelewa na familia nzima na si lazima aliyefiwa kuhamia kwenye nyumba Kama inamhusu kurithi. Waislam tuna sharia zetu za mirathi, tuna sharia zetu za kuleana hata uzeeni si ukiachika tu. Uislam ni mfumo kamili wa maisha na una solution ya kila hali ya maisha. Naona unapata shida kwa kuwa huujuwi Uislam.

Mengine yote ni porojo lakini hakuna kitu Kama single mother, hata ukiachika mimba kwa kununua mbegu, bado hauwi. single mother. Hata Yesu hakuzaliwa kwa kuwa na baba lakini ukisoma biblia utakuta genealogy yake.

Us single mother siyo sifa kwa mwanamke hata chembe na hakuna kitu kama hicho, ni terminology iliyozushwa tu.
 
Single mother! Terminology imeshika kasi kwa sababu moja tu. Kwenye dini zote wadilifu wamekwisha.

Nahitimisha hapa nawataka muache huu mjadala maana chanzo cha yote ni kukosekana kwa uadilifu kwenye jamii yetu.

Single mother hawawezi kuisha duniani hapa. Alafu hili neno sio tusi wala halina ukakasi kulitamka.

Wapo wajane hapa wasiotaka ndoa. Wapo waliozaa bila ndoa na hawataki tena ndoa. Wapo waliobakwa hapa.
 
We mwanamke una akili sana, nitakutafuta
 
Nnaota ki English wacha kukielewa. Hilo si jina, ni sifa. Sifa mbaya ki maadili. Siioni sababu ya mtu kujisifu kuwa eti ni "single mother". Mtoto yupi asiye na baba?

Mkuu Faiza nakuunga mkono. Hakuna Mwanamke Single Mother kwani ukweli ni kuwa kila mtoto anababa. Kwa nini wasipeleke watoto kwa Baba zao.

Watoto wakipelekwa kwa Baba zao huwezi sikia hilo suala la single mother. Shida inatokea pale mwanamke anapojifanya Kung'ang'ania mtoto ilhali hana uwezo wa kuwatunza.

Hata dini inaruhusu mtoto afikapo umri fulani apelekwe kwa Baba yake ikiwa watu walitalakiana.

Wanachotafuta kwa sasa ni huruma tuu.
 
Kuwa single mother sio ulemavu ni inatokea tu.
Sema waulizeni wanaume wakisikia hivyo kwanini hawataki kuwaoa?
 
Mngesoma content ya ndani mngeelewa tu dah!jf watu wanadeal na heading only
 
Vyote
 
Wanawaita ma single maza sababu wamezaa mtoto au watoto na kuishi na kuwalea bila baba zao.
Labda mama kaachana na baba, baba kafa, baba kukimbia majukumu au mama kumfukuza.
Ila this is single mothers fightback! Why not?
Ila rais wetu wa sasa utamuita single Maza naye au?!
Maana mume haonekani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…