Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ukweli ni kuwa wengi pia wamekuwa wakii "abuse" system ya "social benefits" kwa kutumia sifa hiyo
Kimalezi niliyokulia, kuwa "single mother" mwenye kuishi kivyako ni kuwa mama mzaa kiharamu.
Analelewa na nani?amii niliyokulia, mtoto asiye na baba ni yatima na yatima si wa kulelewa na "single mother".
Kwanza ni jukumu la ndugu wa karibu kumuhifadhi mtoto na mama aliyefiwa na mumewe ili mtoto/watoto walelewe kama vile hawajaondokewa baba mzazi na hali kadhalika kwa aliye achana na mumewe.
Ana abuse system kwa kusema "single mother" wakati baba yupo na anajulikana na tunawafahamu wengi sana wa namna hiyo. Verified? You must be kidding. Who is there to verify or unverify the unverifiable?Naona ushaanza kuingia kwenye uongo taratibu....
Verified single mother hivi ana abuse vipi system ya "benefits"?
Huwezi elezea hili!
Faizafoxy,huoni hoja yako inageuka hovyo iwapo muhusika labda alibakwa jee?
Hapo huoni una-alienate mwanadamu aliyebakwa then akapata mtoto bila ridhaa yake,huoni wewe unaembagua ni sehemu ya tatizo na sio solution?
Analelewa na nani?
Hivi unamleleaje mama mtu mzima?
Ahame kwenye nyumba aliyojenga na mumewe marehemu aje akae na nani hasa kwa hao ndugu unaosemea?
Yaani tuseme unamridhisha huyo mwanamke kwa ndugu ndani ya huo ukoo wa marehemu,hivi mila hizi za mapangoni si ndio tunazipiga vita sasa hivi wewe ndio unazisemea?
Halafu mtoto sio wa ndugu,mtoto ni wa huyo mwanamke,ndugu hana mamlaka yoyote na huyo mtoto ukiacha biological mama yake aliyebaki baada ya baba kufariki1
Kiserikali,mwanamke kurithiwa ("kulelewa" kama unavyotuaminisha hapa) na ndugu hakutambuliwi kisheria.
Na to top it all,mila hazina nguvu kiserikali kwenye nchi...
Nachokigundua una advocate wanawake wajane kurithiwa ila wewe umeipa jina feki la "kulelewa" of which hujatoa maelezo ni kivipi hasa!
Single mother! Terminology imeshika kasi kwa sababu moja tu. Kwenye dini zote wadilifu wamekwisha.Ana abuse system kwa kusema "single mother" wakati baba yupo na anajulikana na tunawafahamu wengi sana wa namna hiyo. Verified? You must be kidding. Who is there to verify or unverify the unverifiable?
Hata anaebakwa si single mother. Ni mtoto aliyepachikwa kwa kubakwa na huyo huhesabika ni yatima.
Analelewa na familia nzima na si lazima aliyefiwa kuhamia kwenye nyumba Kama inamhusu kurithi. Waislam tuna sharia zetu za mirathi, tuna sharia zetu za kuleana hata uzeeni si ukiachika tu. Uislam ni mfumo kamili wa maisha na una solution ya kila hali ya maisha. Naona unapata shida kwa kuwa huujuwi Uislam.
Mengine yote ni porojo lakini hakuna kitu Kama single mother, hata ukiachika mimba kwa kununua mbegu, bado hauwi. single mother. Hata Yesu hakuzaliwa kwa kuwa na baba lakini ukisoma biblia utakuta genealogy yake.
Us single mother siyo sifa kwa mwanamke hata chembe na hakuna kitu kama hicho, ni terminology iliyozushwa tu.
We mwanamke una akili sana, nitakutafutaHabari zenu,sihitaji kashfa wala matusi hapa maana kuna watakatifu humu koo zao hazina singo mama wala walioachana..
Jf wanapita watu wengi mnoo!!!waliojiunga na wasiojiunga naomba kuuliza hivi singo mama siku hizi imekua ulemavu,kosa,dhambi au fursa!
Mimi sielewi maana naona Mara makongamano ya masingo maza,Mara sijui tamasha La singo mama,uwaunge mkono sijui uwachangie...jamani!!!
Hivi wanawake kwa nini tunapenda kujiona sisi ni waathirika wa kila jambo ambalo jamii inaliangali ktk mrengo tofauti...?
Mbona hakuna hayo mambo kwa wababa wanaolea watoto wenyewe?au wao hawakutani na changamoto za kimalezi?
Mimi binafsi sipendi na nachukia hii kitu (mniwie radhi kwa nitakaowakwaza)ila naona kama vile kujidhalilisha flani hivi...au ndo kutojiamini kama tunaweza!kwa staili hii tunataka usawa na wanaume...haitokaa itokee mpk Yesu arudi...!!!
Kama uliweza kubeba mimba,ikataliwe isikataliwe ukajifungua watoto au mtoto wako mwenyewe kwa nini usikomae mbona vijijini huko watu wanatelekezwa na wanalea watoto wao bila misaada?
Kama umetengana na mmeo au mmeachana kama unahisi huwezi kuwahudumia watoto si uwapeleke kwa baba yao?kama hutaki kaa nao Leo mwenyewe!!!
Yaani sasa hivi huku mijini masingo mama naona wanafanywa mitaji na watu wachache kujiingizia kipato na wenyewe wanaona kama wanapendwa kumbe hawajui ukiona umeitiwa fursa basi jua wewe ndo fursa yenyewe!!!
Wapo wanawake wengi wanalea watoto wao tena kwa shida na hawapigi kelele kimya kimya mpk wanakua!
Wamama wenzangu hii mitandao isifanye tujidhalilishe jamani...hebu tupambane kivingine sio mpk matangazo..maana huko kwenye mitandao siku hizi sijui wameonelea biashara ya Kuwakusanya singo mamaz inalipa kila mtu anaibuka na hoja zake!!
Tuinuke tupambane tusipende kujiweka nyuma!!!
Nnaota ki English wacha kukielewa. Hilo si jina, ni sifa. Sifa mbaya ki maadili. Siioni sababu ya mtu kujisifu kuwa eti ni "single mother". Mtoto yupi asiye na baba?
VyoteHabari zenu, sihitaji kashfa wala matusi hapa maana kuna watakatifu humu koo zao hazina singo mama wala walioachana..
Jf wanapita watu wengi mnoo!!! waliojiunga na wasiojiunga naomba kuuliza hivi singo mama siku hizi imekua ulemavu, kosa, dhambi au fursa!
Mimi sielewi maana naona Mara makongamano ya masingo maza, Mara sijui tamasha La singo mama, uwaunge mkono sijui uwachangie...jamani