Hivi kwa Body Language ya Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini Tunisia watapona kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia wala hupati shida kujua kuwa Wameshafungwa na Kutolewa rasmi katika CAFCC hivyo watarejea Kuendelea na Kombe lao la 'Tigo Pesa Unbeaten Record' linalodhaminiwa na GSM kwa Kushirikiana na NBC.

Imeisha hiyo........
 
Kwa we muzee unapost taarifa ngapi za Yanga?
 
Nabi hana mbunu mpya ya kushinda game yeyote kwa sasa

Hata game za ndani hana tena mbinu huo ndio ukweli mchungu!!
Wana Yanga SC wenye Akili na mnaojitambua kama Wewe mpo wachache mno hapa JamiiForums. Heko Kwako.
 
Body language ya Yanga ilikuwa off hata game ya kwanza. Angalia walivyokuwa wameegemea mabomba kabla hawajaingia uwanjani, walikuwa wamenyong'onyeaaa.
 
Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia wala hupati shida kujua kuwa Wameshafungwa na Kutolewa rasmi katika CAFCC hivyo watarejea Kuendelea na Kombe lao la 'Tigo Pesa Unbeaten Record' linalodhaminiwa na GSM kwa Kushirikiana na NBC.

Imeisha hiyo........
Aisee ulijiaibisha sana! Siyo kwa mada zako hizi za kipopoma dhidi ya Wananchi!
 
Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia wala hupati shida kujua kuwa Wameshafungwa na Kutolewa rasmi katika CAFCC hivyo watarejea Kuendelea na Kombe lao la 'Tigo Pesa Unbeaten Record' linalodhaminiwa na GSM kwa Kushirikiana na NBC.

Imeisha hiyo........
Bobezi kwenye nini [emoji3064][emoji3064]
 
Nabi hana mbunu mpya ya kushinda game yeyote kwa sasa

Hata game za ndani hana tena mbinu huo ndio ukweli mchungu!!
Hakuna ukweli mchungu wowote ule! Mbona ameiongoza sasa timu yake kushinda ugenini, na kufuzu hatua ya makundi!!
 
Back
Top Bottom