MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison.
Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao Dj.
japo wananchi walishangaa kidogo uvaaji wao lakini ndio hivyo tayari huyu ndio shemu letu.