Hivi kwa haya anayopitia Lissu, kama akibahatika kupata Urais hatolipiza kisasi?

FYATU

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
5,882
Reaction score
5,087
Au atafanya kama alivyofanya Nelson Mandela?. Kila nikifuatilia taarifa za kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu na yanayosemwasemwa kuhusu kaliba yake kwamba hupenda kuwashughulikia wanaoshughulikia basi mabaki wa kujiuliza, vipi kama?.
 
Au atafanya kama alivyofanya Nelson Mandela?.Kila nikifuatilia taarifa za kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu na yanayosemwasemwa kuhusu kaliba yake kwamba hupenda kuwashughulikia wanaoshughulikia basi mabaki wa kujiuliza,vipi kama?.
Lissu akiwa Rais wa JMT, atakuwa na kazi ya kuijenga Tanzania Mpya na si kulipa kisasi.
Ila tukumbuke tu,jinai haiozi!!
 
Lissu hata ukimtafsiri anaongea lugha ya kisheria zaidi. Na ndoto yake ni tanzania ilae kisheria kama nchi zingine. Lissu yupo karibu na viongozi wa kiroho. Nilikuwa sijui anasali kanisa gani lakini pasaka ndiyo nilijua.

Kwanza huo muda wa kulipiza kisasi ataupata wapi? Wakubali mabadiliko akiwa nje kama hajabadilika na wakaenda nae vizuri. Lissu anajua raia hawatendewi haki. Badala ya kumhukumu mtu kwa kosa lake mtu anahukumiwa kwa pesa za mlalamikaji.

Malalamiko yake mmeyasikia jana anakoa na wafungwa waliohukumiwa wakati yeye sio mfungwa. Ni mahabusu.

Tuulizane hapa je MABADILIKO ni uhaini? Mhaini hapo ni nani?
 
Lissu akiwa Rais wa JMT, atakuwa na kazi ya kuijenga Tanzania Mpya na si kulipa kisasi.
Ila tukumbuke tu,jinai haiozi!!
Kashindwa kujenga CHADEMA ndio ajenge nchi? Taasisi ndogo tu ya CHADEMA imemshinda ndio aweze nchi?
 
akitaka revenge mulsims watawa-gaslight kwamba kwa sababu ni muislamu na “mfumo Kristo” unawaonea, ingawaje Christians ndiyo real victims here …
 
Lissu akiwa Rais wa JMT, atakuwa na kazi ya kuijenga Tanzania Mpya na si kulipa kisasi.
Ila tukumbuke tu,jinai haiozi!!
Kuwafikisha mbele ya sheria wahalifu haiwezi kuwa kilipa kisasi.

Mimi nitamshangaa akipata madaraka ashindwe kuyawajibisha haya majambazi yanayopora mali za taifa.
 
Alipata uongozi Chadema kwa hila ghiliba kupaka watu matope
Ndio maana Chadema inasambaratika
 
Kuwafikisha mbele ya sheria wahalifu haiwezi kuwa kilipa kisasi.

Mimi nitamshangaa akipata madaraka ashindwe kuyawajibisha haya majambazi yanayopora mali za taifa.
Ndio maana ya nilichoandika.
Sheria kuchukua mkondo wake kwa watenda jinai, sio kisasi.
Mshukiwa (mhalifu kama ulivyoandika), hawi mhalifu mpaka mahakama ikamkuta na hatia.
Tujitahidi kuepuka kutenda makosa kama "yao".
 
Prototypes ya Lisu NI kwamba individual Wana matatizo ya kusahau .

Hakuna kisasi dhidi ya madhalimu.

Sisi NI mbele Kwa mbele
 
Kashindwa kujenga CHADEMA ndio ajenge nchi? Taasisi ndogo tu ya CHADEMA imemshinda ndio aweze nchi?
Sasa wewe na akili zako chadema ameanza kuiongoza lini?

Na badala ya kuchaguliwa alikaa mda gani mkamkamata na kumfungulia kesi za *******? Au unataka aongoze huko gerezani aliko? Nyinyi miaka 60 bado wanafunzi wanakaa chini na barabara nyingi ni mbovu.
 
Lisu na Heche waliingia kihuni hata wakae mwaka Chadema haitarudi ilipokuwa uimara
 
Back
Top Bottom