wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Nadhani zaidi atadili na viongozi wa jeshi la polisi na usalama hata kama wamestaafu huyu atafukuamakaburi na ninaamini vile vile kuna baadhi watahama mchi kabisaAu atafanya kama alivyofanya Nelson Mandela?. Kila nikifuatilia taarifa za kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu na yanayosemwasemwa kuhusu kaliba yake kwamba hupenda kuwashughulikia wanaoshughulikia basi mabaki wa kujiuliza, vipi kama?.