Hivi kwa mlo kama huu wachezaji wetu watatoa wapi nguvu jamani?

Seriously wachezaji wetu ni very weak kwa kuwaangalia tu unaona. Hawana mazoezi ya kutosha japo kuna upungufu wa gym na vifaa bora ila pia hawazingatii athletic diet kabisa.

Ninacheza mpira kama hobby na nilicheza bongo na nimecheza nje nimeona tofauti ilivyo kubwa. Wachezaji wetu ni wembamba, dhaifu, hawana athletic body wakati wachezaji wa nje ni wembamba but lean fit. It all boils down to mazoezi na menu.
 
yule aliyesema wanakula mihogo barabarani hakukosea
 
Wachezaji wa Tanzania ni wadhaifu, goigoi hawana afya ya kimichezo.

Hata wakipatiwa chakula hasa hawawezi kumaliza kwsbb hawajazoea kula hivyo.
 
Kisa ni wachezaji wa simba.ila ingekuwa yanga.mngekaa kimya.
 
Hii ni kawaida kwa wachezaji wa kibongo wala usishangae mkuu labda kama ndo umefika leo Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…