Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeangalia hii picha nmecheka sana!
Ndio maana unakuta uwanjani mtu anapepesuka kama jani la mgomba! Dah..
![]()
Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi waziHawa cjui wanabania nakumbuka Didier Drogba alipikuja Tz alikula mbuzi mzma
Hehee naona umemchanaHapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
Satu mnamaneno sanaHawa cjui wanabania nakumbuka Didier Drogba alipikuja Tz alikula mbuzi mzma
Ila kumaliza kuku wawili si mchezo.Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi
Hata kama ni kuku wawili, huyo nae kawa chatu sasa aaanh!Hapana siyo mbuzi mzima kaka. Alikula kuku wawili. Acha uongo wa wazi wazi