Hivi kwa nini hizi nyimbo hufanana?

Hivi kwa nini hizi nyimbo hufanana?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana. Msg yenyewe ni kuwa alikuwa na mpenzi, then huyo mpenzi akampiga kibuti... na mara nyingi anakuwa anaimba kama vile kumuambia huyo mpenzi kuwa utajuta, utanikumbuka...

Hivi hii inaashiria nini kwa vijana wa kiume na videmu vyao vya kwanza? Kwamba hivyo videmu vikishajua mapenzi na raha ya pesa, in most cases vikijana vinapigwa chini au?

Reference chache
Ali Kiba - Zinderela
Diamond - Mbagala
Barnaba na pipi - siujui jina
Hebu vijana ongezeeni reference hapa...
 
hahaha...wewe bwana mapenzi hayo ya uteenager hayawezi kudumu na mara nyingi mademu baadae wanakuja jua wanaume wote wale wale so bora mtu anakumega huku wewe unamega pochi yake lol!!!
 
Neila (Mwili Unatamani) - Tundaman
 
Back
Top Bottom