Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana. Msg yenyewe ni kuwa alikuwa na mpenzi, then huyo mpenzi akampiga kibuti... na mara nyingi anakuwa anaimba kama vile kumuambia huyo mpenzi kuwa utajuta, utanikumbuka...
Hivi hii inaashiria nini kwa vijana wa kiume na videmu vyao vya kwanza? Kwamba hivyo videmu vikishajua mapenzi na raha ya pesa, in most cases vikijana vinapigwa chini au?
Reference chache
Ali Kiba - Zinderela
Diamond - Mbagala
Barnaba na pipi - siujui jina
Hebu vijana ongezeeni reference hapa...