Hivi kwa nini Hospitali ya Mirembe waliiweka Dodoma?

Hivi kwa nini Hospitali ya Mirembe waliiweka Dodoma?

Mycojkhan

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2024
Posts
803
Reaction score
1,498
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
 
Sababu kubwa British colonial administration waliona pale ndio central part ya Tanganyika, hivo ni rahisi kufikisha kila mwenye tatizo pale kuliko eneo lolote. Kiufupi dodoma was central part of tanganyika.
Na iliitwa mirembe kumaanisha eneo lisilo na disturbance na uwepo wa conflict yyte, eneo salama
 
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
ni katikati ya nchi, uwezo wa chizi kutoroka toka Dodoma hadi afike mpakani watakuwa wameshamkamata. ni tofauti na kama wangeiweka Namanga, Mutukula au Tunduma (kidding).
 
Back
Top Bottom