Hivi kwa nini Hospitali ya Mirembe waliiweka Dodoma?

Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Wakoloni [donor kantri] walifanya tafiti kwa makabila yote, wakaja na conclusion kwamba ...ndio wanatakiwa kutibiwa akili.
 
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Dooh! Itakuwa na wewe mgonjwa wa akili sio Bure....!

Hivi unafahamu kama milembe ni jina lenye asili ya usukumani? Kwanini hujajiuliza hilo kwamba ni sababu ipi hospitali ya vichaa Waite milembe?
 
Sababu kubwa British colonial administration waliona pale ndio central part ya Tanganyika, hivo ni rahisi kufikisha kila mwenye tatizo pale kuliko eneo lolote. Kiufupi dodoma was central part of tanganyika.
Na iliitwa mirembe kumaanisha eneo lisilo na disturbance na uwepo wa conflict yyte, eneo salama
Asilimia kubwa ya vichaa wanatokea Singida .Zamani pale lilikuwa ilipo lilikuwa jimbo la kati likijus8sha mikoa ya Dodoma na singida .Baada ya mkoloni kuona vichaa wengi wako eneo hilo ndipo hospitali ikajengwa hapo.Wateja wakubwa wa hiyo hospitali ni kutoka Singida
 
Kumbe Singinda wengi wao ni .....😄
 
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Kwa nini Hospital zingine(JKCI, ORCI, MOI, KIBONG'OTO) hazikujengwa Dodoma?
 
Dooh! Itakuwa na wewe mgonjwa wa akili sio Bure....!

Hivi unafahamu kama milembe ni jina lenye asili ya usukumani? Kwanini hujajiuliza hilo kwamba ni sababu ipi hospitali ya vichaa Waite milembe?
Nipe sababu Mkuu
 
Nmejiuliza sanaa Maswali Mengi kuhusu Hospitali ya ugonjwa wa akili kwann waliamua kuijenga Dodoma.

Wakuu Naombeni Maelezo juu ya hili jambo,Twende kazi sasa.
Kwa sababu pa kunyongea watu mi hapo hapo....sasa wanajiridhisha kama akili yako ipo mutreeb kabla ya kulamba kitanzi,,,,,halafu ni kati katika kati kum nchi ,
 
ukiingia peponi niite mbwa😄
 
kwa sababu ikulu iko dodoma pia, huko kuna wanaishi wanasiasa wanaohitaji matibabu
 
Back
Top Bottom