platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Nchi hii ina Watu wajinga sana. Hata kujiridhisha huduma gani zinazotolewa Mirembe.swali lako linavinasaba vya utovu wa nidhamu
Kwanza Mirembe si hospitali ya vichaa (kwanza neno lenyewe ni udhalilishaji.
Pili Mirembe ni hospitali ya magonjwa ya afya ya akili. Hata Watu wenye msongo wa mawazo matatizo ya Kisaikolojia wanaweza kupata huduma hapo. Tumeshasikia karibia mikoa yote Watu wakijinyonga au kuuua. Hawa wote wangeweza kupata msaada wa kimatibabu hapo Mirembe na wakapona.
Halafu Mirembe pia hutoa huduma za matibabu kama hospitali nyingine, ikiwemo huduma za Ctc.